Dear Sir/Madame,
Are you a Tanzanian migrant, a Tanzanian migrant who has returned to Tanzania or a family member, friend or colleague of a Tanzanian migrant in a country in "The Global South"?
With "The Global South" we refer to Africa, The Middle East (apart from Emirates, Qatar and Bahrain), Asia (except Japan, Korea, Singapore, Hong Kong and Brunei), Latin America and the Caribbean (apart from Barbados).
In that case, you are hereby invited to play a role to turn 'brain drain into brain gain'!
We are interested to find out how knowledge, ideas and identities are communicated between migrants and their home communities. This is called ‘Social Remittances'. You can by participating in this survey contribute to how the Tanzanian government and organisations can include the role of migrants to develop Tanzania and to reduce poverty. Your participation will help us greatly in understanding the role that migrants play in promoting, for example, education, health, entrepreneurship and participation.
The African, Caribbean and Pacific (ACP) Observatory on Migration (www.acpmigration-obs.org) has commissioned us, Development Pioneer Consultants in Tanzania (www.dpc-tz.com), to carry out this study.
We request you to kindly spend 30 to 45 minutes to complete the survey. If you complete it before the 16 of March and you provide us with your personal contact information (right at the end of the survey) you will automatically participate in our lottery. 10 respondents who completed the questionnaire will be contacted and able to choose somebody in Tanzania who will receive TSH 50,000 mobile money.(refer to the enclosed questionnaire).
How? Complete this online questionnaire (Please click in any of the links that suits your situation)
1. Are you a Tanzanian migrant living in the Global South?
2. Are you a Tanzanian returning migrant who was living in the Global South?
3. Are you a family member, friend or colleague of a Tanzanian migrant living in the Global South?
Your response and any comments will be treated with utmost confidentiality.
Thank you!
Sincerely,
Habari za leo,Je, wewe ni mhamiaji wa Tanzania, mhamiaji wa Tanzania aliyerejea Tanzania au mwanafamilia, rafiki au mfanyakazi mwenzake wa mhamiaji wa Tanzania anayeishi katika moja ya nchi zilizopo "Global South"?
Global South ni nchi zote za Afrika, Mashariki ya Kati (isipokuwa Emirates, Qatar na Bahrain), Asia (isipokuwa Japan, Korea, Singapore, Hong kong na Brunei), Amerika Kusini na Carribean (isipokuwa Barbados).
Kwahiyo basi, una majukumu ya kugeuza ‘ubongo unyevu' kuwa ‘ubongo faida'
Nia yetu ni kujua jinsi gani maarifa, mawazo na utambulisho vinawasilishwa kati ya wahamiaji wa Tanzania na ndugu, marafiki au wafanyakazi wenzao waliopo nyumbani, Tanzania. Ushiriki wako katika utafiti huu kutachangia jinsi gani serikali ya Tanzania na mashirika yanaweza kwa pamoja kuendeleza mchango wahamiaji ili kuendeleza Tanzania na kupunguza umaskini. Ushiriki wako utatusaidia sana katika kuelewa mchango wa wahamiaji katika kukuza, kwa mfano, elimu, afya, ujasiriamali na ushiriki.
Afrika, Caribbean na Pacific (ACP) Observatory juu ya Uhamiaji (www.acpmigration-obs.org), imetuajiri sisi Development Pioneer Consultants (www.dpc-tz.com), kufanya utafiti huu.
Tunakuomba sana kutumia sehemu ya muda wako takriban kama dakika 30-45 kukamilisha utafiti huu. Kama utakamilisha kabla ya tarehe 16 ya mwezi wa tatu na ukawa umetoa taarifa yako binafsi ya mawasiliano (kulia mwishoni mwa utafiti) wewe moja kwa moja utashiriki katika bahati nasibu yetu. Wahojiwa 10 ambao watamaliza tutawasiliana nao na wana uwezo wa kuchagua ndugu, rafiki au mfanyakazi mwenzake aliye Tanzania ambaye tutamtumia TSH 50,000 kwa njia ya simu (iwe M-pesa, Tigo pesa, Airtel money au Ezy pesa).
Kivipi? Kwa kujaza dodoso hili (ili uweze kupata dodoso hili, tafadhali bonyeza moja ya linki zetu hapo chini inayoendana na hali yako)
1. Je, wewe ni mhamiaji wa kitanzania unayeishi katika moja ya nchi zilizopo Global South?
2. Je, wewe ni mhamiaji wa kitanzania uliyekuwa ukiishi katika moja ya nchi zilizopo Global South na sasa umerudi kuishi Tanzania?
3. Je, wewe ni ndugu, rafiki au mfanyakazi mwenza ambaye ana ndugu, rafiki au mfanyakazi mwenzake ambaye ni mtanzania na anaishi katika moja ya nchi za Global South?
Majibu na maoni yako yatatumiwa kwa siri bila ya kutaja utambulisho wako.
Asante kushiriki katika utafiti huu.