so so so saaaaaaaaaaad!

Unaogopa nini sasa kwani na wewe unauza madawa sasa unajiuliza zikifika 40 zako itakuwaje? Hebu jenga hoja hofu yako inatoka wapi?
nimeogopa koz wamewatreat kama terrorist yani na majibwa kibao yani full ugwadu na mijibwa ilikua inaingia kila room kucheck ni ni mikubwa saizi ya ndama iyo ndio iliyonitisha mm mana mm muoga hata wa kinyonga
 
make money fast, umenikumbusha jinsi nilivyoponea chupu chupu kuwa drug dealer, the worst business.
 
nimeogopa koz wamewatreat kama terrorist yani na majibwa kibao yani full ugwadu na mijibwa ilikua inaingia kila room kucheck ni ni mikubwa saizi ya ndama iyo ndio iliyonitisha mm mana mm muoga hata wa kinyonga
Sema tu ndiyo mara yako ya kwanza kukutana na hali kama hiyo lakini mimi naona all in all wana derseve kukamatwa kama mbwa vile, halafu watu wanao deal na drugs wana mtandao mkubwa sana hivyo hata ukamataji wake inabidi polisi ijipange ili kukabiliana na chochote kinachoweza kutokea.
 
Ingekuwa bongo hao ndo wangekuwa washikaji wa polisi wa kuwatafutia mademu.
Duuuuh nilikuwa sijui kuwa kumbe ukiwa mshikaji na polisi basi wana mademu zao ambao wanaweza kukutafafutia na wasiweze kukataa! Mbona raha kama unaupenda ufisi maji basi ni kuwa karibu na askari polisi.
 
sorry taking it personal.... why sympathise with drug dealers?
 
ingekuwa hapa tz, after 1 week ungemuona huyo msela kitaa anaendelea kupiga mishe.
 
yes uko sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…