yani hapaaa naandika ndio kama dk 45 zimepita toka kasheshe la mhaiti mmoja na mnigeria kukamatwa na mapolisi bada ya kukamatwa na bangi na madawa ya kulevia ktk room wanayolala ambayo iko ktk flour yangu mm ninakoishi loh! wanaenda kula 14 years bila pingamizi yani na mmoja alibakiza miezi 9 achukue master yake asepe loh! yani mlangoni kwao waliandika dont mess with mother cobra lkn cku zote tunajua ni maneno tuu mana hata cc mlangoni kwetu tumeandika slogan yetu kumbe loh!
View attachment 39700
mkuu inategemea na AMINATA yupo wapi??????????mkuu mbona watu kukamatwa kawaida sana.ukitaka uamin kaa uone.kesho utawaona mtaani ndo ushangae sheria zetu zilivyo.mia
..Nadhani yupo ColombiaMkuu, upo sehemu gani?
huku niliko mm boss
Naona anapinda pinda tu kuweka wazi, mimi huku niliko ndiyo nini sasa!hakuna jina?
Wafungwe tu, hakuna cha kuwaonea huruma. Mpaka kushikwa watakuwa wameshaangamiza afya za watu wengi tu. Wauza unga nawachukia sana,yani hapaaa naandika ndio kama dk 45 zimepita toka kasheshe la mhaiti mmoja na mnigeria kukamatwa na mapolisi bada ya kukamatwa na bangi na madawa ya kulevia ktk room wanayolala ambayo iko ktk flour yangu mm ninakoishi loh! wanaenda kula 14 years bila pingamizi yani na mmoja alibakiza miezi 9 achukue master yake asepe loh! yani mlangoni kwao waliandika dont mess with mother cobra lkn cku zote tunajua ni maneno tuu mana hata cc mlangoni kwetu tumeandika slogan yetu kumbe loh!
View attachment 39700
Unaogopa nini sasa kwani na wewe unauza madawa sasa unajiuliza zikifika 40 zako itakuwaje? Hebu jenga hoja hofu yako inatoka wapi?bila shaka hilo ndilo la msingi mana nimeogopa kinoma yani