Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
nnaposema sipo tayari kumpoteza i mean nampenda sana na kumuacha sio rahisi kwanza tumefikia hatua nzuri tu sasa na nikimuacha itabidi nianze upya kutafuta mwingine na wanaume wenyewe hamueleweki then malazi mengi[
We bikira unayo? Au umbeya tu. Muache mwnzio, shndwa ulegee:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza akichomoa lazima damu zitoke lakini kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano na mwanamume mwingine hali hiyo haikuwahi kunitokea sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini naomba ushauri wenu maana nampemda sana mpenzi wangu na sipo tayari kumpoteza
kwanini ukutokee kwa b/F wa sasa? Au labda uume wake mkubwa sana?
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
Uwe unareply with quote kama unamjibu mtu