CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,257
- 12,876
Kumkata mtu kichwa pekee siyo suluhisho dada angu, hata kama ww sio mama wa huyo mtoto kwa ss hv lkn baadae pia unaweza kuwa na mtt wa kike yakakukuta haya. Huu mchezo wa kusagana au kuwasaga wanawake c kitu kigeni hapa Tz na unazidi kushamiri siku hadi siku wakubwa kwa wakubwa, watoto kwa wakubwa na hata watoto kwa watoto. Tunahitaji kumjua Mungu wa kweli na kurudi katika tamaduni zetu wa asili ktk suala zima la mapenzi/mahusiano ili tuepuke huu ushetani!.Dah.. Hii ni hatari kubwa aisee...Napata picha mimi ndio ningekuwa mama wa huyo mtoto...Unaweza ukamkata mtu kichwa kwa hasira..!
akapatwa na wasiwasi juu ya urafiki kati ya yule dada na mwanae, akaanza kumpeleleza mwanae. ndipo mwanae akamwambia kile ambacho alikuwa akifanyiwa. yule dada alikamatwa na kushtakiwa mwisho akafungwa lakini mtoto alikuwa amekwisha haribiwa. .
WITO.. KINAMAMA TUWENI MAKINI NA URAFIKI KATI YA WATOTO WETU NA WATU WAZIMA.
daaa,inasikitisha jamani.huruma hakuna,unavyomfanyia mtoto wa mwenzio hivyo,hufikirii ya baadae kwa huyo mtoto.kuna kijana mmoja ni gay,maarufu kwenye ma blog.kuna mtu alimuuliza kisa cha kuwa hivyo,jibu alilotoa kuwa hakuzaliwa hivyo ila mwalimu wa chuoni{ustadh ndie aliekuwa anamchezea tangu mdogo}wakati anaenda madras.hebu imagine unae waamini ndio wanaekuharibu
Ngoja na mie nianze kumchunguza huyu binti yangu Ngina na huyu dada wa jirani muuza ubuyu.... maana mh!
daaa,inasikitisha jamani.huruma hakuna,unavyomfanyia mtoto wa mwenzio hivyo,hufikirii ya baadae kwa huyo mtoto.kuna kijana mmoja ni gay,maarufu kwenye ma blog.kuna mtu alimuuliza kisa cha kuwa hivyo,jibu alilotoa kuwa hakuzaliwa hivyo ila mwalimu wa chuoni{ustadh ndie aliekuwa anamchezea tangu mdogo}wakati anaenda madras.hebu imagine unae waamini ndio wanaekuharibu
Dah.. Hii ni hatari kubwa aisee...Napata picha mimi ndio ningekuwa mama wa huyo mtoto...Unaweza ukamkata mtu kichwa kwa hasira..!