SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
Thats it! Mara nyingi kwa kutojua tunashindwa kuisikia sauti ya Mungu!mshukuru Mungu na uanze upya,hujui nini kinakuepuka
Thats it! Mara nyingi kwa kutojua tunashindwa kuisikia sauti ya Mungu!mshukuru Mungu na uanze upya,hujui nini kinakuepuka
Pouwa, nusu nusu; kwani mpaka nirudi ndipo nitamtafuta mzazi wa mwanaume ili tuongee kuhusu swala hili!
Nilijaribu kumcouncil binti asiitoe, hopefully hatafanya ujinga while l am away!