upo sahihi sanaCha juu ni kawaida kwenye nchi hizi hata ukifanya assembling nyumbani, nimekua kwenye consultancy kwenye miradi ya hizi serikali za EAC na huwa hamna jinsi ya kukwepa cha juu. Kwanza makampuni ya kutoka nje ndio huwa vigumu kutoa hiyo 10%, lakini ya ndani hukimbilia kutoa hata kama hawajaombwa.
Hata hivyo nimesikitika sana kuona viongozi wetu wanaofikiria kwa kutumia ubongo ulioganda, wanaagiza mabasi SA, yaani big four tutafanikisha vipi kama tutaendeshwa kwa pumba.
Cha juu ni kawaida kwenye nchi hizi hata ukifanya assembling nyumbani, nimekua kwenye consultancy kwenye miradi ya hizi serikali za EAC na huwa hamna jinsi ya kukwepa cha juu. Kwanza makampuni ya kutoka nje ndio huwa vigumu kutoa hiyo 10%, lakini ya ndani hukimbilia kutoa hata kama hawajaombwa.
Hata hivyo nimesikitika sana kuona viongozi wetu wanaofikiria kwa kutumia ubongo ulioganda, wanaagiza mabasi SA, yaani big four tutafanikisha vipi kama tutaendeshwa kwa pumba.
jamaa anazungumza ni kama aliongea na tour operators wote wa Kenya au ndiye spokesman wa kenya tour operators...hawa jamaa ni wavivu wa kufanya research
Jamaa anakuja na statement haimake sense ukimuuliza aprove anakwambia nenda katafute proof. Yaani unaongea tu ujinga bila kupiga research.
Still within The African Continental Free Trade AreaTZ inatekeleza protokali ya EAC common market kivitendo, kama bidhaa inapatikana within the community na inakidhi viwango then inapewa kipaumbele cha procurement. Cha kushangaza wa KE hawaoni hilo wanakwenda SA kununua mabasi ya hovyo ili kupata kitu kidogo...
Aisee kweli hii ni UGLY busInafanana na ikarus yetu ya mwaka 1982.View attachment 788213
Sell us what you imported too?? Nigga!! Ati design. Hahaa. Were they designed in your country?why do u guys choose that ugly buses ?we can still sell kenya nice and beautiful buses for their BRT .they can choose designs from our different brt buses
they are built here in SA , maybe other brands are imported but we mostly use what is been built in the countrySell us what you imported too?? Nigga!! Ati design. Hahaa. Were they designed in your country?
Ooh. Thought you were a Tanzanianthey are built here in SA , maybe other brands are imported but we mostly use what is been built in the country
we should have atleast imported them in parts so that we can assemble them locally, do the paint work...and used localy made tires...atleast it will keep some few folks gainfully employed... And keep some of that money circulating within the economy.Even if we we import from SA, we should have atleast imported them in parts so that we can assemble them locally, do the paint work...and used localy made tires...atleast it will keep some few folks gainfully employed... And keep some of that money circulating within the economy.
But anyway, on the flip side, its good to see Africans importing manufactured goods from each other rather than enriching China or EU...
kuna kampuni zinazotegeneza bodies tayari...so cha ku import ni engine peke yake...we should have atleast imported them in parts so that we can assemble them locally, do the paint work...and used localy made tires...atleast it will keep some few folks gainfully employed... And keep some of that money circulating within the economy.
So your problem is those busses to be painted and using SA tires are what makes you loosing bigger chop.?
Stop arguing nonsense you want to import those busses in parts not whole smh, unatumia kichwa cha kuku kufikiri