Sneaker mpya ya kijanja inataka mvaaji

Maisha haya aisee,
kuna jamaa yangu alinunuaga viatu vyake hivi hivi mkononi (kwa mtu) bei ya kutupa, a week later anapita Kariakoo akakutana navyo vimemwagwa kwa 7,000/=
Sio kwa hivi, kama unataka kujionea just go mwenyewe kwenye boutiques au shop yoyote unaweza kupata kajionee bei yake halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…