AhhahahahaHapa utashangaa huyu mleta mada amesoma PCB lakini analeta uzi kama huu, sijui elimu yetu ikoje
Mama Sabriana naomba unielekeze lile chimbo ulilosema liko karibu na Fortes kuelekea Railway.Ahhahahaha
Ulizia migration ipo jirani na migrationMama Sabriana naomba unielekeze lile chimbo ulilosema liko karibu na Fortes kuelekea Railway.
Umenichekesha sana [emoji12] [emoji12]Hapa utashangaa huyu mleta mada amesoma PCB lakini analeta uzi kama huu, sijui elimu yetu ikoje
MaweeeeKuna bishost alikwenda kwa Sangoma kupata control over her hubby, aliambiwa apeleke mifupa na chakula jamaa alichobakisha kwenye sahani.
Sangoma alivifanyia kazi, baada ya hapo aliwekewa paka kwenye sahani, paka alibakiza bibie alimalizia kula.
Baada ya hapo, mume alikuwa kama paka, anakaa na mke wake jikoni akifukuzwa anakimbia baasda ya muda anarudi tena.
Jamanina ukiwa unakula nyama yake mara kwa mara unaishi miaka mingi zaidi...
HahhahahaaHapa utashangaa huyu mleta mada amesoma PCB lakini analeta uzi kama huu, sijui elimu yetu ikoje
haya mpendwa nitakupa mrejeshoUlizia migration ipo jirani na migration
[emoji16] [emoji16]Huyo kwenye picha mbona nyoka mzuri sana ata kuuma anaweza kweli?