SMZ yaifunga mdomo UAMSHO

muhammed aboud UAMSHO leo wapo uwanja wa maisara kama ww ndo unaupenda sana muungano huu kuliko wazanzibar wote nenda kawakamate mwenyewe.
kama umetumwa na watanganyika usiku rudi kaseme ''zanzibar kumekucha wazanzibar wanataka nchi yao''
''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''​


kuna watu wengine hata kusoma alama za nyakati hawajui hawata kuwa na nafasi kwenye zanzibar baada ya muungano uliojaa kero kuvunjwa kitalamu na kisomi zaidi
 
nilishasema na naendelea kusema znz hawataweza pata serikali waitakayo kama wataendelea kuuchagua CCM
 

Hizi ALAMA ZA NYAKATI isha kuwa tuu machi. bora ibakie wan aprili
 

nifahamidheni, hapo wako kwenye mashindano ya kuhifadi kuruani au nnnini kinaendelea.
sore kama swali limekukera.
 
Ni vema vikudi hivi navyo vikawa vivumilivu kwa kusikia hoja za wenzao watakaokuwa na fikra tofauti. Tume ya katiba isije ikafikwa na yaliyomkuta Sitta huko Zanzibar!
 

hawa jamaa ni matapeli na wana tuhuma kibao na wanajifanya wanafiki kwa kutumia mgongo wa dini kueneza hizo propaganda, na hiyo mihadhara yao haina tija na haimsaidii mtu yeyote, kwa sababu wanafanya mihadhara wana m address nani matatizo na malalamiko yao? na hao wananchi wanaoenda kusikiliza mihadhara ni vilaza watupi std 7 na madrassa

nasema ni vilaza kwa sababu hiyo mihadhara imejaa matusi na kashifa mbalimbali juu ya viongozi wa serikali hasa ya Tanganyika, na hao vilaza huwa wanashangilia yaani hawajui hata kuchekecha pumba wanameza kila kitu.

Ushauri kwa JUMIKI na UAMUSHO kama mnauweza wa ku mobilize na kupata watu maelfu kwenye mihadhara yenu kwanini msisajiri chama chenu cha siasa? tena chama cha kidini? kuliko kua wanafiki kama mnavyofanya sasa?

 
Nyie chezeeni serikali, mtapigwa virungu bure, nyie mnadani mnapambana na Aboud?
 
Serikali ya Zanzibar imevitaka vikundi vyote vinavyotoa mihadhara juu ya katiba na muungano kuacha mara moja kuruhusu tume ya katiba ifanye kazi yake. Source: ITV
MI NAWAONA WOTE WANAFIKI PAMOJA NA HAO WAONGOZA MIHADHARA YENYEWE. SMZ WALIKUWA WAPI TANGIA HAO JAMAA WANAANZA KULETA SUMU JU YA MUUNGANO HALAFU SAIZI NDO WANAJIFANYA KUKURUPUKA KUZUIA WAKATI WATU WAMESHAPATA UJUMBE. NADHANI SMZ WAKUBALI KWAMBA WANASUPPORT NA WAKO NYUMA YA PAZIA https://www.jamiiforums.com/images/...://www.jamiiforums.com/images/icons/icon8.png
 
Serikali imekwenda mchomo- JUMIKI

Posted on May 3, 2012 by zanzibaryetu
,

nasema ni vilaza kwa sababu hiyo mihadhara imejaa matusi na kashifa mbalimbali juu ya viongozi wa serikali hasa ya Tanganyika, na hao vilaza huwa wanashangilia yaani hawajui hata kuchekecha pumba wanameza kila kitu.
Connect the dots!

Hawa jamaa wala si wajinga kama mnavyofikiri ... ila wana lengo maalum! ... na ili lengo lao litimie kwanza ni kuuvunja Muungano na Tanganyika maana ndio kikwazo kwa watu walionyuma ya Dili hii ... ila hao wanaowashangilia hawajui lengo lao










Ethnic omani man next to Sultan Qaboos portait, Zanzibar, Tanzania


Siku Wazanzibari watakapokuja kujua lengo la mchezo wote huu ... itakuwa tayari too late na wala wasije kumlaumu wala kuomba msaaada sehemu yoyote ile
 
You can ban people, you can even ban an organization, but you cannot ban a revolution idea, By Zitto Zuberi Kabwe, Bungeni 2007.
 
Kama wazanzibar wanahaki yao basi lazima wataipata tu,hayo mambo ya sultan ni mawazo yako na ya wale magamba wote,hivi vatican inafanya huku tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…