Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Wee mchunie tu mwenyewe atakutafuta. Soko lake liko chini mjini hapa warembo wengi
 
Wanaume wa dar cio watu wa sport sport wanapenda kuchangamkia fursa afu utakuta nikatoto kadogo tuu kanakomchanganya akili
 
Hahaha sababu kaenda shule bas kila kitu kwake kitakua so cha maana hapo baba huna chako jarb kuvumilia af fanya yako kama watt wa mjini wanasema kua na dem ambaye sio bikra ni sawa na kufuga nyani ipo siku atamis pori...

Bhc uyo atamic kichaka chakee we songesha
 
Ngoja nijarib japo kishingo upande mkuu!! Kama Kuna mganga wa kunifanya nimsahau huyu mdada naomba unisaidie jinsi ya kumpata Ili Nami kwa Mara ya kwanza niroge
Uko tayari. Atakuganda kias kwamba utakua unamkimbia
 
njia panda ya himo au hahahahah, hapo ushabaki na nyoyaaaaa tafuta ndege mwingine tuuu then let it gooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…