Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
Tatzo lililopo ni kwamba moyo wangu bado unampenda xna mkuu[emoji2] [emoji23] [emoji23] mkuu wanaume wa dar sio watu wa mchezo mchezo washakamatia kifaa hicho pole sana...tafuta mwingine huyo sio wako tena mkuu
Mkuu utakufa kwa pressure bure nadhani hulijui hili jiji vizuri huyo mwache tena kwa amani kabisa tafuta mwingine...Tatzo lililopo ni kwamba moyo wangu bado unampenda xna mkuu
Ngoja nijarib japo kishingo upande mkuu!! Kama Kuna mganga wa kunifanya nimsahau huyu mdada naomba unisaidie jinsi ya kumpata Ili Nami kwa Mara ya kwanza nirogeMkuu utakufa kwa pressure bure nadhani hulijui hili jiji vizuri huyo mwache tena kwa amani kabisa tafuta mwingine...
Hawa Dada zetu sijui tuwape nini jamanUkimtoa Bikra Bado Shida, Ukimkuta Sio Bikra Bado Utaambiwa Ni Demu Wa Mtu (Aliyemtoa Bikra)..
Dah Hii Jinsia Ni Shida
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12]Mtumie hela kama unataka kujibiwa vizuri
HelaHawa Dada zetu sijui tuwape nini jaman
Pesa.Hawa Dada zetu sijui tuwape nini jaman
Mahitaj yote mbna nilikua natimiza! Hela kila mshahara ukiingia nilikua Nampa % kadha lakn bado tu hakuridhka!! Jaman???Hela
Yawezekana maana hata kiswahil chake kimebadilika ghaflaKishazijua beach na kumbi za starehe za DSM, kula mita mkuu
Na wanawake wa dar wanataka ela + dusheMahitaj yote mbna nilikua natimiza! Hela kila mshahara ukiingia nilikua Nampa % kadha lakn bado tu hakuridhka!! Jaman???