ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
wewe subiri watu wafumue hiko kizibo ndo utajua mke wa mtu haguswi.
Umeona watu wanavyopenda kukurupuka ee?JF kila mtu ameokoka. Mimi nimeleta ujumbe, sikusema nimetumiwa mimi. After all mimi siyo mtoto. Cha msingi fuata ushauri otherwise itakula kwako.
Palipo kolezwa panahusika,Noted with thanks Mkuu.
Bora nikuombe msaada unisaidie kujua hili neno ''Kuokoka'' nimekuwa nalisikia sana kaka, huwa hilo neno linataka kumaanisha nini mkuu? mtu ameokoka na nini labda? Na ili na mtu batili kama mimi nawezaje kuokoka labda? Asante.
siku utaposuguliwa gaga ndio utajua kama waume zao wanaangalia kamasutra au wanamwangalia mandingo.
Hahahaha mkuu umenivunja mbavu
siku utaposuguliwa gaga ndio utajua kama waume zao wanaangalia kamasutra au wanamwangalia mandingo.
Kuna mtu kaandika post watu wote wa MMU hakuna kugusa mbinguni hahhaaaaha