HahahahahaaaLeo wangu mbawa zipo active mbaya kabisa.........najiandaa kuitafuta News Cafe then nijue kutokea hapo.......YOLO mwanawane...........
HahahaaaaJamani jamani........
Hahahaaaa
Ndo ujue nimekumiss sana mama!
Hahahahahaaa
Sasa hiyo New Cafe ndo umenipoteza kabisaaaaaa lol
Ngoja nitakutafuta kwa simu unipe maelekezo maana leo nahisi kumiss michepuko :lol:
Cc Chocs (Mwaaaaah)