MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Nilipoanza kutumia Smile mwaka mmoja uliopita nilikuwa radhi kuweka hata shs laki moja kwa siku kwa sababu ilikuwa inalipa. Ilikuwa very fast na uki download hata video ya GB 2 ilikuwa haichukui dakika 5.
Nipo Arusha na kuanzia mwezi wa July mwishoni mtandao wa smile umekuwa chini kuliko ile tunaoyotumia maofisini . Sioni tena kama ni 4G LTE na wala siyo 3G kwani spidi ni ndogo na hata kufungua page ya website it takes years.
Nimeshakwenda ofisi ya smile mara tatu wakitoa majibu yale yale eti kuna interference. Hawa jamaa nahisi wamebana bandwidth bila kutuambia kwa sababu wazijuazo wao. Na hii ina implication kwenye market.
Ninaomba ambao hamjanunua Smile msipoteze muda kwani inakoelekea ni kukumalizia hela otherwise smile watuambie watarudisha lini $G LTE ile iliyokuwepo miezi sita iliyopita.
Uzoefu unaonionyesha masaa 14 kati ya 24 smile iko chini sana kiasi kwamba huwezi kuitumia hata kujibu email.