kweli kabisa mkuu ila hawa jf wananifanyia fitna sikioni kitufe cha like nikugongee mkuu!!!Sometimes kwangu mimi uwa najiuliza swali naona kama technology ina ni affect mfano.
Nina simu ina internet, napata facebook, skype, twitter, na mengine..
Then hapo hapo niwe nimebeba tablet ambayo inafanya kile kile simu ifanyacgo tofauti tu ni screen.
Bado nina laptop pia inafanya hayo hayo.
Sa tukiongeza na saa si ndo balaa. These gadgets are making us spend our money without reasoning...
kweli kabisa mkuu ila hawa jf wananifanyia fitna sikioni kitufe cha like nikugongee mkuu!!!
Hizi saa mbona za kitambo? Zile za Sony tayari zipo bongo. Samsung atatoa za kwake hivi karibuni. Zile za Apple nimeziona Nairobi sijui kama zishafika huku.
Hahaha mkuu itabdi watuwekee kitufe cha like hata kwenye mobile version ya jf.
Na bado mkuu google akzndua glasses zake pia mbona tutageuka kuwa marobot karne hii, mkonon gadget, mifukon gadget, machoni gadget, masikion gadget all doing the same work...
Ni noma mkuu, inatumia wifi pamoja na shemejiInatumia wifi au?