Kwa mwenye ujuzi tafadhali,nimenunua smartwatch ila ina tatizo,nikiweka line ya simu inaniandikia invalid sim,naomba mwenye ujuzi wa hizi saa anijulishe shida ni nini maana ni mara yangu ya kwanza kuitumia na sina user manual...
Kwa mwenye ujuzi tafadhali,nimenunua smartwatch ila ina tatizo,nikiweka line ya simu inaniniandikia invalid sim,naomba mwenye ujuzi wa hizi saa anijulishe shida ni nini maana ni mara yangu ya kwanza kuitumia na sina user manual...