Nina Smartwatch mpya naziuza.
Unaweza kuweka laini na memory card kwahiyo unaweza kupiga simu na kupokea simu.
Pia utatuma SMS na kupokea.
Ukiunganisha na Bluetooth kwenye cm yako unapata notifications mbalimbali kama simu ikiingia SMS etc.
Pia utaweza kupiga na kupokea simu kwa Bluetooth, kuplay Music, etc.
Bei ni Tsh Elfu 60 tu.
Nipo Ubungo DSM kwa maelezo zaidi nicheki +255758095750