Smartphones: Zinaelimisha au zinapumbaza!

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,706
Kila unakokwenda watu si watoto,wanafunzi na hata watu wazima wako busy na simu zao kiasi kwamba nimefikia kujiuliza swali hili.
 
Zinapumbaza, unawezaukawa unaongea na mtu ishu ya maana yeye akili yote ipo katika smartphone.
 
Zilikuja wakati bado waafrika hawajaandaliwa kuzitumia ndio maana wanafunzi wengi muda mwingi wanashindia huko
 
Inategemea na mtumiaji,ni lazima ujipangie wakati wa kuchati na wakati wa kuperuzi internet,kama usipojiangalia unaweza kuwa mtumwa wa Simu yako wewe mwenyewe!! so, ni vizuri kujipangia muda,time management.
 
Back
Top Bottom