•Nafanya Flashing ya Smartphones kama imekua "HARDBRICKED" Kwa maana simu haiwaki kabisa au "SOFTBRICKED" Kwa maana smartphone yako either ina bootloop to recovery or Android logo.
•Pia nafanya Rooting kwa wale ambao wanataka ku gain access ya control ya simu zao za Android
~Napatikana Morogoro Msamvu stand ya Mabasi ya Mikoani~ Pia waweza ni PM kwa mawasiliano zaidi