Smartphones Dealer(CHINA)

Gustavo04

New Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
2
Reaction score
3
Habari za Muda huu,naomba msaada kwa mdau mwenye address za wauza simu(Wholesale) CHINA. Check me through 0764 222638
 
Ingia Alibaba

Naomba msaada kama una uzoefu wa kuagiza bidhaa mtandaoni mfano AliExpress..hivi ukishachagua bidhaa za kununua (cart) ukilipia utatumia kama kifurushi kwa pamoja au kila ulichochagua kitatumwa kivyake kwa sababu nikiangalia naona bidhaa nyingine ni free shipping halafu nyingine ni paid shipping tena hata duration zimetofautiana je zitafika kwa pamoja au kila kitu kivyake?
 
Ni wauzaji tofauti na vinafika tofauti
 
Utatumiwa untakacholipia tuu na kila bidhaa itafika kwa muda wake.. Ukiona free shipping basi tambua muuzaji alishazijumuisha kwenye manunuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…