Smartphone zinaharibu mahusiano

Kuna wanawake wengine ukitoka naye anafunika simu, andika maumivu hapo, kwi kwi kwi. Binafsi mwanamke ambaye yuko busy anachat au anapokea simu wakati tuko faragha namwambia achague moja. Ni anti-social na ushamba, hata hao wazungu hawafanyi ujinga huu. So achague kuchat au engage in conversation. It's such a turn off.
 
Wanaopenda kuchat huku wakiwa na wapenzi au wenzi wao MUNGU ANAWAONA
 
Kitendo cha kunifokea tu mbele za watu kingenigeuza kurudi nilipotoka, sipendi hii tabia utakuta mwanaume anamfokea mdada mbele za watu, kwann kama ujapendezwa na kitu usisubiri ukamsema mkiwa wawili??
 
Hahahaaa... Huwa sipendagi ujunga mimi

Last week nilikua na mtoto wa chuo, njia nzima kutokea geto adi chuon yuko bize na simu...
Tumefika getini namwambia ashuke ananiletea story "ooh bby unajuaa..." nikamwambia STOP!
Njia nzima hukuweza kuongea na mimi adi ufike ndo utake kuleta mada? We will talk when you have time and not in the car.

Wiki sasa hamna mawasiliano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…