BongeMwepesi
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 125
- 83
Inaboa sana hiyo kitu aiseeLast Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!
Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"
Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sio kushibana tu hadi kuvimbiwaNaona wewe na mkeo mmeshibana sana hadi muda wote wa masaa manne mnawakodolea tu wenzenu na kujua hadi muda gani wanaongea!
Haha bora waliokua wa nachat kuliko hao wanaofatilia mambo ya watu kwa masaa manneNaona wewe na mkeo mmeshibana sana hadi muda wote wa masaa manne mnawakodolea tu wenzenu na kujua hadi muda gani wanaongea!
AiseeeHaha bora waliokua wa nachat kuliko hao wanaofatilia mambo ya watu kwa masaa manne
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!
Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"
Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kwahiyo mnakasirikagaInaboa sana hiyo kitu aisee
WAKATI FULANI BILA UKALI HATA NDANI YA NYUMBA MAMBO HAYATAENDA...Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!
Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"
Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Habarini za Jumapili,
Jana nikiwa nimetoka na wife jioni kwenda kupata dinner na Live Band nilikaa jirani na couple nyingine ambao kwa kuwaona tu nikawajua ni mke na mume. Tumekaa pale kama masaa manne yani wote kila mtu yupo bize na simu yaani wanazungumza muda wa kuagiza na kusifia mziki basi, nikaamini hizi smartphones bila kuzicontroll zinaharibu mahusiano kabisa.
Mimi na mke wangu tukifika eneo kama hilo basi kila mtu huwa anaondoa kabisa internet kwenye simu yake hili tupate muda wa kuzungumza na kuenjoy pamoja pasipo kuwa bize na simu zetu.
Ndugu punguzeni matumizi ya simu mnapokuwa na wapenzi wenu hasa kina dada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we sio MTU wa sport sportLast Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...