Smartphone yenye camera ya kibiashara

asante chief kwa kuongezea nyama nimeikubali hiyo picha ya macho ya paka ambayo ilipigwa na nokia 808,technology ya 2012 hadi leo bado inatingisha dual camera za iphone na huawei
Nokia Walitumia lens ya Carl Zeis ambayo ndio lens inayotumika sana na camera za Sony. Ni lens ya ukweli sana inayokimbizana na zile za kamera za Olympus. Pia flash ya 1020 sio Led.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…