kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,106
Aiiiiii weeeweee Smartphone....! Daaah jamani wewe Smartphone!! Mbona mtamu na mchungu kwa wakati mmoja...!!??
Unaelimu kubwa unaweza kunifikisha popote katika mustakabali wa Maisha yangu lakini duuuuh!!
Unanipa genye napoteza kile chenye kunipa thamani na Utu wangu, kwanini lakini unanifanyia hivi weweee Smartphone..!!?
Unanifanya najua sana kumbe sijui kitu, nakopa TALA ila kwenye kulipa mtata na nakuja kujisifu na kuona TALA wapuuzi... Hivi una nini wewe Smartphone lakini...!!?
Juzi umenipa Deal kubwa, leo nimempata mke wa Mtu kwa ajiri yako Smartphone matokeo yake nimefumuliwa Malinda yote...!! Sikutaki tena smartphone maana umesambaza Video zangu Dunia nzima..
Jamani Smartphone siitaki ila imenifanya naenjoy na Jamii forum muda wote nao utaka Mimi, niifanye nini hii Smartphone...?
Be care be Positive hii ndio Smartphone inaweza kukufanya ukawa Mke wa nyampala na Udume wako.