Smartphone wee mbona hivyo..!!?

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,036
2,000
Aiiiiii weeeweee Smartphone....! Daaah jamani wewe Smartphone!! Mbona mtamu na mchungu kwa wakati mmoja...!!??

Unaelimu kubwa unaweza kunifikisha popote katika mustakabali wa Maisha yangu lakini duuuuh!!

Unanipa genye napoteza kile chenye kunipa thamani na Utu wangu, kwanini lakini unanifanyia hivi weweee Smartphone..!!?

Unanifanya najua sana kumbe sijui kitu, nakopa TALA ila kwenye kulipa mtata na nakuja kujisifu na kuona TALA wapuuzi... Hivi una nini wewe Smartphone lakini...!!?

Juzi umenipa Deal kubwa, leo nimempata mke wa Mtu kwa ajiri yako Smartphone matokeo yake nimefumuliwa Malinda yote...!! Sikutaki tena smartphone maana umesambaza Video zangu Dunia nzima..

Jamani Smartphone siitaki ila imenifanya naenjoy na Jamii forum muda wote nao utaka Mimi, niifanye nini hii Smartphone...?


Be care be Positive hii ndio Smartphone inaweza kukufanya ukawa Mke wa nyampala na Udume wako.
 

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,835
2,000
Nawakilisha touch za Maisha mkuu, unaweza pia kutoa touch za uliyo yaona sio mbaya
UNAJITETEA NA HAPA UNA MAANISHA NINI HIVI JF INA MASHOGA HUMU👇

Juzi umenipa Deal kubwa, leo nimempata mke wa Mtu kwa ajiri yako Smartphone matokeo yake nimefumuliwa Malinda yote...!! Sikutaki tena smartphone maana umesambaza Video zangu Dunia nzima
 

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,036
2,000
UNAJITETEA NA HAPA UNA MAANISHA NINI HIVI JF INA MASHOGA HUMU

Juzi umenipa Deal kubwa, leo nimempata mke wa Mtu kwa ajiri yako Smartphone matokeo yake nimefumuliwa Malinda yote...!! Sikutaki tena smartphone maana umesambaza Video zangu Dunia nzima
Nia ni kuwa makini smartphone Ndugu, inaweza kukupa deals na inaweza kukuzamisha shimoni.

Wengi wanao baka wanapata mihemko kupitia Smartphone so tuwe makini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom