Smartphone Kufungiwa?

Smartphone Kufungiwa?

Mwatulole

Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
55
Reaction score
192
TAARIFA
GOOGLE PLAYSTORE ITAFUNGIA SMARTPHONE ZOTE AMBAZO HAZIJA THIBITISHWA KUTUMIA HUDUMA ZOTE ZA GOOGLE

JINSI YA KUANGALIA KAMA SIMU YAKO IMETHIBITISHWA
1. Fungua Playstore nenda Settings >Device Certificate

2. Ukikuta Uncertified jua haijathibitishwa ila ukikuta Certified jua imethibitishwa so ur safe.

Kwa mujibu wa Google hizo simu ambazo hajithibitishwa (uncertified) zitafungiwa Mwezi huu huu (March).

So nenda play store & crosscheck ur device.
 
Mbona unataka kuleta taharuki isiyokua na ulazima?

Ni wapi wamesema simu ambazo haziko certified zitafungiwa?

Screenshot_20180322-141922.jpg
Screenshot_20180322-141932.jpg
 
Nilidhani baba na mwana wamekaa wakataka kufanya hivyo....... PHD ya uongo na cheti cha kufoji sitaki maswali
 
Ebu kuwa serious maana kwenye hiyo screenshot sijaona waliposema watazifunga
 
Wahanga buana huwa wana.............
We unaona hilo nalo big deal?

Kama ulikimbia umande acha kupiga makelele ya kuleta taharuki kwa watu.

Hakuna sehemu Google Play store wamesema watafungia Simu.
Acc yangu iko Certified, na hata kama Acc ya mtu haiko certified simu haifungiwi
Screenshot_20180322-202635.jpg
 
Hii sio ishu sababy kun app stores kibao za free..mfano Moboegine nk. Acha wafungie tu as long as the phone is running android os sio kitu cha kuumiza kichwa.
 
Nadhani wale wazee wa customize rom ndio itawahusu, lkn nowdays app hazipo playstore tu, sipo kila mahali ila sio safe maana hackers wanapekua taarifa.
 
Back
Top Bottom