chodo1990 Senior Member Joined Nov 30, 2013 Posts 198 Reaction score 215 Jul 3, 2017 #1 Heshima yenu wakuu! Msaada tutani simu yangu ya android kila mara ikionyesha kua memory is not enough kwenye DCIM nikifungua nakutana na thumbimages nikidelete inakua na free storage ya kutosha nifanyeje kutatua hili tatizo?
Heshima yenu wakuu! Msaada tutani simu yangu ya android kila mara ikionyesha kua memory is not enough kwenye DCIM nikifungua nakutana na thumbimages nikidelete inakua na free storage ya kutosha nifanyeje kutatua hili tatizo?
Matty70 Member Joined Mar 27, 2017 Posts 71 Reaction score 100 Jul 3, 2017 #2 Iflash japo nimetoka chang'ombe sio mda kwakosa la kuflash sim
T-Bagwell JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 1,245 Reaction score 2,387 Jul 3, 2017 #3 Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,488 Jul 4, 2017 #4 Inaonekana unamatumizi makubwa jaribu kutafuta external memory kubwa
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,615 Jul 4, 2017 #5 T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Mimi usipo taja aina ya simu sichangii wala sikuulizi
T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Mimi usipo taja aina ya simu sichangii wala sikuulizi
Matty70 Member Joined Mar 27, 2017 Posts 71 Reaction score 100 Jul 4, 2017 #6 T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Itakua itel au copy ya sony( X-BO)
T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Itakua itel au copy ya sony( X-BO)
chodo1990 Senior Member Joined Nov 30, 2013 Posts 198 Reaction score 215 Jul 4, 2017 Thread starter #7 T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Bulaza mbona unanisimanga na kisimu changu nilichokipata kwa jasho sana iko ivi android version ni 5.1. Build number OXE_BEGIN_101_S12_20161214
T-Bagwell said: Taja aina ya simu, unaweza kuta unaongelea Samsung s1 kwenye ulimwengu wa 128Gb Click to expand... Bulaza mbona unanisimanga na kisimu changu nilichokipata kwa jasho sana iko ivi android version ni 5.1. Build number OXE_BEGIN_101_S12_20161214