Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Ni kama nashindwa kumuelewa mleta mada...
Mbona dekoda nyingi kwa sasahutumia smartcard, labda tuelezane huko kwa gazeti umesoma nini cha ziada kutoka hicho ulichoandika.
Kwaio kwenye ilo gazet umesoma na hujaelewa?
Weka ata link ya ilo gazet basi
Hapana! maana yake unaweza kuwa na dekoda kichefu chefu ya startimes ukatumia smart cards za dstv,continental,ting nk!kama vile una simu yako ambayo si ya contract then unaweka simcard yeyote Tigo wazimu,airtel miyeyusho,zantel doro,vodacom wazushi sasatel kaja lini!Kwa hiyo hata simu kuna wakati hatutatumia badala yake tutatumia sim card tu? Huo ndio mfano unaoendana kabisa.