Kitambo sijalipia kingamuzi so nilikua na enjoy TV 1 for free....leo nimelipia pesa lakini bado channel hazikamati inabaki kuandika smartcard error kwa screen!!!what's solution kwa hapo....
Chomoa smart card yako; futa kwa kidole ile chip inayofanana sim card; rudishia card; washa wakati inawaka gonga gonga juu ya decorder tatizo litaisha:
Tafadhali leta mrejesho