SmartAX MT880, Nitaikosa JF! MSAADA HARAKA!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,288
783
Wakuu, natumia modem ya SmartAX MT880 ya ttcl kutoka Huawaei. Juzi imeungua kutokana namatatizo ya umeme, haiwaki kabisaa! Bahati nzuri nilikuwa na modem ya akiba (same brand and model), cha ajabu nilipojaribu kuiunganisha inawaka-lakini taa zote zinawasha nekundu (isipokuwa power) na haionekani kwenye pc yangu (kwenye network icon kuna x! nimejaribu hard reset lakn hainipi majibu! Nisaidieni wakuu, kuna njia yoyote labda "kuiflash"? hapa natumia modem ya kuazima kwa jirani!!:angry:
 
Back
Top Bottom