Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Naona mmehamia Pm ngoja namie nikanyonyeshe sasa
Rubii wewe kweli Mhang...

Ya Abroad Moja ilimkana Mume wake ikaja kwa Kijana, kijana akaikangaa kweli kweli , Mume akajua kuwa kijana anakaanga maza house ya Abroad sasa Kilichotokea hiyo ya Abroad imemkosa Kijana na Mume kamtosa , Mume kashaioea na abroad sasa hivi amekuwa Mlokole kuliko walokole wote kuwahi kutokea Duniani kwa kifupi orodha ya Single Mother imeongezeka full kuokota makopo.. Couple za JF hasijawahi kumuacha Mdada salama..
 
Huu Uzi unaonyesha Ukweli Kuwa Ukimchukuwa Mhenga humu JF Usijishaue kwa kujifanya Umechukuwa malaika kwa Kutag tag kila comment yako.. Sasa aibu inawakuta hata siyo aliyefaidi zaidi ni nani au wote wameliwa na kuacha kama ilivyo Custom and Taboos za JF
 
woyoooooooo...

we kakaaa....huu mchezo hauhitajo hasiraaaa
Shunie@Maserat
 
Aiseeee.

Cc Shunie Sakayo habari wanayo?
 
Sijui nani huyu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…