Sasa umewaingiza vijana while binti wa putin nataka maelezo. nakuona nakuonaKungekuwa na kitufe cha kujipiga ban ningejipiga.
Shemela hizo zote ni hoax nilikuwa nawaingiza chaka hao vijana wa putin
Unataka kuliamsha dudeMimi nacheka kwa dharauuu
Ha ha ha ha
Cc mapikipiki
Kufukua makaburi kumemaliza vizuri weekend ya watu! Option yq kujipiga ban nashauri iwepo maana mtu unaweza zimia kwa maudhi ya watu nyuma ya keyboard. Kila lakheri Kassie+ Smart+Mahondaw
Post sent using JamiiForums mobile app
Miss u...naona unanipotezea kama smart anavopetezea uziWa kuzeeshana.
Mmmh. Hii kodi ngumu aisee.Ha ha
Baba naliliu,zee la story na ndugu yetu
SawaWa kuzeeshana.
Bwana we,njoo pm sitaki kusutwa mieMmmh. Hii kodi ngumu aisee.
Hebu nisaidie
Teh teh...Ulikuwa unaleta mbwembwe ...Kazi unayo sasaKungekuwa na kitufe cha kujipiga ban ningejipiga.
Shemela hizo zote ni hoax nilikuwa nawaingiza chaka hao vijana wa putin
Hii code ni babkubwaa.Nataka huu umbea ulinipita. Nani na nani hao?? Nipe hata code nitafungua mwenyewe
Yaani code imenishinda. Tatzio wazee wa hadithi ni wengi..Hii code ni babkubwaa.
Shemela kipenzi. Nitakuja pm.Sasa umewaingiza vijana while binti wa putin nataka maelezo. nakuona nakuona
Unamjua ati.Yaani code imenishinda. Tatzio wazee wa hadithi ni wengi..
We Ms.Lincoln hebu njoo pm basiii
Kazi kwelikweliHawa wanatuzuga.Binti aliumizwa kaka akijitolea kumsahahulisha maumivu...sasa kama kalikuwa kanaamini kamezimiwa sijui thatha
Hebu niangalie niko jf since when???Unamjua ati.
Au 2015 haukuwa jf?
Pole inna.ACHENI SIFA BAS NDO MADUDU GANI HAYA????
Hahaha, mkuu umebanwa mbavu.Kungekuwa na kitufe cha kujipiga ban ningejipiga.
Shemela hizo zote ni hoax nilikuwa nawaingiza chaka hao vijana wa putin
Wewe mhenga kabisa.Hebu niangalie niko jf since when???
Nami muhenga
ChanteePole inna.