illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu
unayosema yana ukweli ,ila umeongea kwa jaziba mkuu
mnisamehe jamani ni hili kabila nalo "vita ni vita" ila naamini ujumbe umefika na vi "tachi vyenu"
Simu zao
Bundles zao
Matumizi uwapangie wewe
kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu
Masikini muda wote anahasira.

Kaka illegal migrant naona umesema kweli. Hata Mungu angetoa ubongo kwa kipimo. Kila mtu apewe kulingana na size yake ya kufikiria. Asiwe na reserve. Sijui wako ungekuwaje!!!kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu
kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu
Kama Sijakosea Na Sijasahau Nadhani Kuna Mdau Mmoja Humu Wiki Iliyoisha Alikuja Na Thread Kama Hii Je Iliishia Wapi? ILA Nakuunga Mkono Kwa Ulichokisema Mkuu Tunayashuhudia Mengi Ya Aina Hiyo Na Tatizo Kubwa La Watanzania Na Siyo Baadhi Yetu bali Wengi Wetu Ni USHAMBA ULIOKITHIRI UNAOCHANGANYWA NA KUKULIA KTK MLOLONGO WA MAISHA MAGUMU na ya TAABU NA UKISHAZIKAMATA TU MATOKEO YAKE NDIYO HAYA. Na Hiki Ndiyo Kipimo Kizuri Sana Na Kumjua WAKUJA na ALIYEVIZOEA na KUVIKUTA NYUMBANI. Kwa Mfano Huwezi Kuwakuta Watoto Wa Wenye Pesa Na Mali Zao AU Watu Waliokulia ktk Mazingira Ya ASALI na MAZIWA Wakifanya Hivyo ILA NGOJA SASA GENTAMYCINE AZIKAMATE UONE MIKOGO YAKE. Badala Ya GENTAMYCINE Mimi Kujijenga Kimaisha Kufidia MACHUNGU NILIYOYAPATA MAISHANI Sasa NITAANZA KUTANUA, KUTAKA SIFA ( Watoto wa Mjini Huita KUOSHA ) na KULA BATA. Jamani UMASIKINI ni Mbaya ILA UMASIKINI Mbaya Ni Ule Wa AKILI au FIKRA au UPEO.