Ni kweli mkuu, hilo ni tatizo la laptop nyingi hasa nahisi Toshiba, pia mm nakutana nalo, tunaomba wataalam watusaidie, naweza hisi pia aina ya operating system mm kwa sasa natumia Window 7 std, je ww una aina gani ya laptop , na Operating system gani ?