(Sloved)Disk hazifunguki kwa double clik

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Tatizo
Nimara nyingi imenitokea binafsi,imewatokea masela wangu,leo hii kuna mtu amenipigia simu akilalamika kuwa amehangaika mno kutwa nzima tangu jana hard disk na removable drives zote hazifunguki kwa double click mpaka uexplore,ukifungua drives(C:\ D:\ E:\...) unapata autorun au error as
1) Access Denied
2) Choose the program you want to use to open this file with.
3) VBScript error with error code of 800A041F
4) Drive opens in new windows.

Sababu
Sababu kubwa itakuwa ni kuwa system yako imekamatwa na virus/spyware.kuna haka kajamaa kaitwa autorun.vbs ambacho kitakuwa kimetengenezwa na virus na hili ndio tatizo lako.Huyu virus kucreat autorun.inf kwenye root ya kila folder kwenye harderives zako,usb au external devices.Kama case imekuwa serious basi pia hucreat autorug.reg file na kubadilisha some changes kwenye registry

Suluhisho
1.Login kama administrator,au kama vp kama user wa kawaida ila ukiwa na full rights
2.Turn off system restore
Right click My Computer-->properties-->System Restore Tab-->Turn off system restore on all drives-->Apply-->OK
Hii option sio lazima ila ni muhimu ukaifanya kwani inategemeana na aina ya virus so kuna ambao hawataona kitu hapa
1.Lauch task Manager by pressing alt+ctrl+del(ctrl+shift+esc)
2.click on processes tab
3.Tafuta wscript.exe,kama inarun basi end icancel kwa kuclick end process
4.End EXPLORER.EXE kama ulivyofanya hapo juu
5.Baada ya hapo,click Start-->run-->type cmd-->ok
6.Comand prompt itakuja,baada ya hapo weka hizi comand moja badala ya nyingine then press enter
del c:\autorun.*/f/s/q/a
del d:\autorun.*/f/s/q/a
del e\autorun.*/f/s/q/a
del f:\autorun.*/f/s/q/a

kumbuka c:\ d:\ e:\ ni disk drives so hata kama una externals basi unaweka tu herufi zake hapo.





7.Baada ya hapo click Start-->run-->regedit-->OK
8.Ikague path kwenye hii registry,kiumakini,

HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows NT\CurrentVersion\Winlogon

9.Tafuta hii key userint.exe
Makesure value ni sawa na hii Userinit"="C:\WINDOWS\system32\userinit.exe,
kama haipo kama hii basi badilisha value,kwa msaada angalia picha hapo chini.





Restart system.Umemaliza!

Kwa knowledge zisizo na kikomo usisite kutembelea Afroitforums-ICT Kijiji kwa watanzania
 
Last edited:
Kila kitu kiichomo humu nimekifanyia testing na kuwork vizuri kwenye xp,kwa wanaotumia OS nyingine do it at ya own risk!

Kwa knowledge zisizo na kikomo usisite kutembelea Afroitforums-ICT Kijiji
 
It Says "Sloved" On the Main Page

sloved.jpg


whats The Deal!?, del ce\autorun.*/f/s/q/a ??

B.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom