Slogan za Lowassa zinavyoitesa CCM

Slogan za Lowassa zinavyoitesa CCM

CCM wanataka mpaka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afufuke kaburini ndiyo waache kumlea Edward Lowassa? Huyu hafai hata kuwa Rais wa TFF. Kaliingiza taifa kwenye hasara kubwa ya Richmond/Dowans. Ni tajiri wa kutupwa kwa kutumia vibaya ofisi za umma (abuse of public office). Hapa TAKUKURU wangekuwa wanathubutu na kusimama na wahesabiwe basi wangemfikisha Lowassa kortini aeleze jinsi alivyojilimbikizia mali. Sheria iko wazi kuhusu viongozi wa umma kuwa na unexplained wealth. Kwanza utajiri wake mkubwa, ikiwemo nyumba za jijini London, Masaki, Arusha, Dubai na Afrika Kusini hajazitaja kwenye fomu za maadili.

Leo hii watu wananunuliwa kazi kumuimba Lowassa tu. Rushwa itaipeleka hii nchi pabaya.

Tuliza shanga wewe utazikata
 
Issue hapa sio paka ana rangi gani , issue ni kwamba je atakamata panya?.
 
Maamuzi magumu... Elimu kabla kilimo kwanza.... Kusema na kutenda..... Uchumi double digit.....Ajira janga la Taifa....Tulihuzunika pamoja na tunashinda pamoja....
 
[QUOTE=isotope;
Wewe isotope ile kesi yako ya kumuibia mjomba wako zile machine imefikia wapi?
 
ndege wa rangi moja huruka pamoja. bila shaka na nyie ni wezi pia.

Baadhi ya slogan ambazo mara nyingi mh. Lowassa amekuwa akizitumia nibpamoja na,

1. Safari ya matumaini
2. Simama na uhesabiwe
3. Tutalivuka daraja

Ni wazi mtakumbuka tokea Lowassa ameanzisha slogan hizo amekuwa akiandamwa na wapinzani wake ndani ya chama mpaka kupelekea kusimamisha asishiriki kazi zozote za jamii wakiamini kuwa Lowassa anajijenga kisiasa.

Mtakumbuka hakuna mahali yeyote Lowassa alipowahi kutamka kwamba atagombea urais wa nchi lakini amekuwa akifuatiliwa kwa kasi ajabu kwani ameonekana nyota yake inawaka mpaka inamulika nchi za jirani,wako wengi wameshatangaza kuwa watagombea urais ndani ya CCM lakin hasakamwi kama Lowassa ambavyo anasakamwa,mwaka mpya Lowassa aliwaumiza zaidi wapinzani wake pale Monduli alipo asisi slogan yake simama na uhesabiwe,safari ya matumaini,hizi zillipelekea mpaka kuitishwa kwa dharura kamati ya maadili kwaajili ya kumjadili Lowassa na wengine ambao kimsingi mlengwa alikuwa ni Edward Lowassa.

Cha ajabu na cha kushangaza Lowassa alifungiwa na akaheshimu adhabu aliyopewa na chama lakini cha kushangaza ukimya wake umekuwa unakitesa chama wakijaribu kufikiria ni njia gani watatumia kumdhibiti.

Niwashauri tu CCM mpaka sasa hivi Lowassa hamtamuweza kaeni naye chini mfanye naye mazungunzo kwani mnaendelea kujidhalilisha kila panapo kucha,ni hivi majuzi tu Lowassa ameonekana viunga vya mji wa Dodoma akifanya mazoezi lakini naamini sasa hivi katibu mwenezi wa CCM Nape ni anajiandaa kutoa kauli juu ya mazoezi anayofanya Lowassa Dodoma.

EL 4 life,Ngoja vijana wa WAMA waje uwasikie

Mkuu punguza wivu,huko unakoelekea utamzidi hata mwandani wako.Lowassa anasubiriwa na watanzania,ni suala muda tu

WAMA at Work!!
 
Jina lako linaonesha wazi kwamba unamtaka Lowasa kwa kuwa ni mmasai mwenzio! Upuuzi mtupu!

We filipo peleka ukabila wako mbali. Ukiendelea na ubaguzi wako huo siku moja utageuka kuwa mla nyama za watu.
 
Baadhi ya slogan ambazo mara nyingi mh. Lowassa amekuwa akizitumia nibpamoja na,

1. Safari ya matumaini
2. Simama na uhesabiwe
3. Tutalivuka daraja

Ni wazi mtakumbuka tokea Lowassa ameanzisha slogan hizo amekuwa akiandamwa na wapinzani wake ndani ya chama mpaka kupelekea kusimamisha asishiriki kazi zozote za jamii wakiamini kuwa Lowassa anajijenga kisiasa.

Mtakumbuka hakuna mahali yeyote Lowassa alipowahi kutamka kwamba atagombea urais wa nchi lakini amekuwa akifuatiliwa kwa kasi ajabu kwani ameonekana nyota yake inawaka mpaka inamulika nchi za jirani,wako wengi wameshatangaza kuwa watagombea urais ndani ya CCM lakin hasakamwi kama Lowassa ambavyo anasakamwa,mwaka mpya Lowassa aliwaumiza zaidi wapinzani wake pale Monduli alipo asisi slogan yake simama na uhesabiwe,safari ya matumaini,hizi zillipelekea mpaka kuitishwa kwa dharura kamati ya maadili kwaajili ya kumjadili Lowassa na wengine ambao kimsingi mlengwa alikuwa ni Edward Lowassa.

Cha ajabu na cha kushangaza Lowassa alifungiwa na akaheshimu adhabu aliyopewa na chama lakini cha kushangaza ukimya wake umekuwa unakitesa chama wakijaribu kufikiria ni njia gani watatumia kumdhibiti.

Niwashauri tu CCM mpaka sasa hivi Lowassa hamtamuweza kaeni naye chini mfanye naye mazungunzo kwani mnaendelea kujidhalilisha kila panapo kucha,ni hivi majuzi tu Lowassa ameonekana viunga vya mji wa Dodoma akifanya mazoezi lakini naamini sasa hivi katibu mwenezi wa CCM Nape ni anajiandaa kutoa kauli juu ya mazoezi anayofanya Lowassa Dodoma.

Na siku wakimuona anakojoa Nape lazima atakimbilia TBC kutoa tamko. Lowassa piga galagaza ndo rais wa hii Tanganyika ya mijitu iliyojaa fitina kama LISITTA.
 
Lowasa namkubali, Kiongozi wa Maamuzi Magumu na ndoto sahihi. Hawa vijana wa WAMA wote wamesoma shule alizoanzisha EL
 
Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani Lowassa atawajambisha sana gesi yote tumboni nje
 
Ccm hakuna mwenye sifa za kugombea uraisi 2015 wote ni wezi na mafisadi wakubwa acheni mambo ya unafiki lowassa ni mgonjwa hata hawezi kubeba kikombe cha chai kwa muda wa dakika 3 ccm ni janga la taifa
View attachment 187647
 
Acha tabia za mama yako wewe.kwani ikulu anaenda beba vikombe?
 
Back
Top Bottom