Kama kichwa kinapojieleza hapo juu, mimi ni kijana niliyebobea kwenye kazi taja hapo juu, kwahiyo ndugu jamaa na marafiki naomba kwa yeyote anayefanya kazi kwenye kampuni ya yenye mashine za slitting naomba aniunganishe nami nipate kazi. niko na uzoefu wa miaka miwili nikifanya kazi hii. niko na uwezo wa kutengeneza rolls size zote na hadi zilizo printed.