Slightly Used 60Watts Solar System For sale at 400,000Shs Only

Slightly Used 60Watts Solar System For sale at 400,000Shs Only

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Nauza Solar System ya Watts 60 Kwa bei ya kutupa kabisa sh400,000
Nimeitumia miezi sita tu, na kuiondoa nikafunga system kubwa zaidi.
Naiuza kwasababu imekaa tu nyumbani sina kazi nayo.
System hii inakuwa na 60 Watts Poly Solar Panel, 65ah Dry cell Battery, 150ah power Inverter na 6ah Charge controller.
Kila kitu nilinunua Zara Solar pale Makutano ya Morogoro na Bibi Titi. Kama unawasi wasi kapate usahihi kwanza au ujue kwanza bei ya mpya then ndio tuwasiliane.
Kwa asiye na ufahamu, System inaweza kuwasha Taa zaidi ya 10 Kwa muda wa masaa zaidi ya sita, Kucharge Laptops, Simu, Kusikiliza Radio nk. Haiwezi Kuwasha TV ya zaidi ya nchi 14. Inapendeza zaidi ikitumika kama backup
Kwa maelezo zaidi, piga simu namba 0714881500
 
Back
Top Bottom