K kiloloma Member Joined Oct 16, 2011 Posts 54 Reaction score 3 Jan 9, 2012 #1 Nina picha za mnato nataka kuziweka kwenye slide show je ni soft ware ipi nzuri . Ninmejaribu p dvd maker quality imetoka mbovu nina omba msaada
Nina picha za mnato nataka kuziweka kwenye slide show je ni soft ware ipi nzuri . Ninmejaribu p dvd maker quality imetoka mbovu nina omba msaada
kajiti Member Joined Oct 19, 2011 Posts 59 Reaction score 7 Jan 9, 2012 #2 unaweza kutumia software inafahamika kama "Ashampoo 10".Ni burning software lakini pia inatoa option ya kutengeneza slide show na unaweza uka-add muzik kwenye hiyo show!
unaweza kutumia software inafahamika kama "Ashampoo 10".Ni burning software lakini pia inatoa option ya kutengeneza slide show na unaweza uka-add muzik kwenye hiyo show!