Hahahahaaaa kama nakuona ulivyoanza kujichekesha na kujielezeaKuna siku nimeenda tu kuwasalimia ikatokea nikaambiwa nilale sjaenda na nguo za kubadilisha
Kesho yake mama ake akanipa kijora nikaenda zangu mtaan kwa mashost
Basi tukawa tunarud na mashost watatu
Ile nafungua tu mlango kitoto kikasema
"Shangaziii umevaa gauni ya mama yanguuuuu eeeeh"
Mtt aliniaibisha huyuuuu hatar
Sio mbaya nivizur pia kua namtoto wakike wakwanza.Tofaut na kuwapenda naic wanapendeza Sana kuliko watoto wa kiume
Ni mtazamo wangu tu
Bangi unakula ya mbeya ?[emoji3] mpaka nizitume zikufikie zimeshafia njiani ??.Tuma mbegu nioteshe Sasa [emoji23]
Hahahahaa sawa nitakutumia kwa bluetooth basiBhacccc unitumiage mbegu ya mtoto kike [emoji23][emoji23]
Mmmhhh ndoton utakua na mimba ya jini mahaba banaaa.Hahahhaaaa tukutane ndoton bhac Leo Ucku
Sawa nasubiri ukishakua tayar utanijulisha ...after all kwa kuanzia maelezo sahihi yaAiyaaa subiri ntakupangia tarehe muda cmrefu
Basi sawa ...isiwe mwakani tu.Ntakuambia cku ntakayo kupa tarehe Ucjal