Slaykids

yaani jaman napenda pigo hizi kwa mtoto wa kike !nikifanikiwa kupata bbygal jaman niko radhi nijibane mwanang anyuke pamba!
Hahahhaaaa mwenyewe napenda ndo maana ninapicha nyingi Sana za watoto,naomba mungu mtoto wangu wa kwanza awe wa kike
Au mapacha wakike na wakiume
 
Minah! Vyuma vimekaza my dear, michinjo and dizaini hii acha iishie kwenye picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…