Wasaliti wamekutana
Hii ni Nchi huru ina haki ya kubuni mbinu yake ya kulinda kura si lazima tusikie wapi duniani wapiga kura wanabaki kituoni, huko Nchi zingine hawana magoli ya mikono na ni lini Tanzania itafanya cha kuigwa na mataifa mengine? Sasa ni wakati wa Nchi zingine kuiga ya Tanzania ili wawe wanadhibiti wizi wa kura na kupora haki na ushindi.UKAWA wana mimba ya chuki na ubishi
hawawezi kuzaa Upendo eti wanasema tukipiga
kura tubaki kituoni ulishawahi kusikia wapi
duniani wagiga kura hubaki kituoni ? Kumbe
unakuwa na kichwa kikubwa kichwani lkn akili
hakuna.
Nilimsikia mama anna mghwira kama nimekosea jina nisameheni wa act wazalendo akisema magufuli aache kupotosha watu hii tz ni yetu sote na sio ya magufuli
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,
hako kazee sasa kamebuni mladi wa kula pesa za ccm huku zito naye akizitafuna kwa sana, membe kawaleta pamoja baada ya kutumia yake mapesa ya marehemu rais wa libya kanal gadafi kuwapatanisha kisha kuwatumia kama sumu ya kupunguza kasi ya ukawa, watanzania wa sasa wanajua kuwa zito na slaa wao wanakula pesa kisha wawatumie wananchi kusaka huruma zao.
Siasa bana kweli mchezo mchafu, huyu slaa si ndie aliyechochea zito afukuzwe chadema kwamba ni yuda leo hii ati wako pa1, huyu mzee si alisema siasa basi,
wangeunganisha nguvu tangu mwanzoni hapo wangewin, kwa nini sasa wakati wanajua kabisa mama mghwira hawezi kushinda uchaguzi?, slaa akampeleka lowassa chadema na kumtosa kwa shinikizo la mkewe, aka jiunga na ccm kumtukana Lowasa kama vile sio yeye aliyempeleka chadema halafu akenda kujirestisha marekani na kuwaacha makamanda peke yao wana pambana kufa na kupona.
zitto akimkaribisha basi wote wataangukia pua kwa sababu hili treni limeshaondoka na kituo kinachofuatia ni Kigoma.
Slaa na zitto wakiungana sasa hivi lengo litakuwa ni kuua ukawa ili zitto na chama chake wawe wapinzani wakuu , sio wazo baya ila wamechelewa, kwa wakati huu attack yoyote kwa ukawa maana yake ni kuiweka ccm madarakani, mimi na wananchi wengine wengi tu hatukubaliani na hii hali na wakifanya hivyo act watakuwa wamejiweka rasmi kwenye kundi la ccm , na kwenye ballot tuta wa treat accordingly.
Mwaka huu hapendwi mtu ni sera tuuu!!!!
Kingunge alisema Kikwete na Lowasa wakae waondoe tofauti zao,CCM wakampuuza sasa watu wazima wanaweza kuchana suruali jukwaani ili tu kuonyesha kuwa wapo fit.umepanic brother!