Wapendwa hata Mimi nimesikia hiyo taarifa Slaa na Zito kupandwa jukwaani, lakini nafikiri ndio wanazidi kuongoza kasi ya Mabadiliko kwani hawana jipya ambalo hatujawahi kusikia, maybe wanakuja kumsaidia JPM kufafanua kwanini serikali ya CCM hiyo hiyo ilizikaa Viwanda vyote nchini kwa kujinufaisha na jamii zao na sasa wanataka kufufua tena! Hakuna kupanic...Mabadiliko nje ya CCM ni muhimu! Kumbuka kuzingatia kupiga kura yako vizuri kwenye box sahihi ili isiharibike. Ni maoni yangu.