Slaa awajibu polisi

 
wakimkamata slaa basi lazima waakikishe wanayo jela kubwa sana ya kuingiza watu laki mbili kama hawana jela ya ukubwa basi wakae kimya. usijaribu kumtishia mtu mzima nyau yaani polisi wanaona kuwa jela ndio kitu cha kumtshia nacho mtukwani hao walio jela ni wanyama hata mandela alikaa jela na sasa ni kiongozi wa kuheshimika duniani.
 
Hiv imagine ile SMG aliyokutwa nayo mzee wa Nashera angekutwa nayo Godbless Lema ingekuwaje??polisi wangesema hata zile dalaz ni za mtutu,ila kwa kuwa gamba huwapooza wakabadilisha eti ni rifle za kawaida,duuuh

Hahahahahaha mkuu ndo umenimaliza kabisa.
Dah shida watu wetu ni wasahaulifu sana na wazito kupima mambo yanavyoweza kuwa kama matukio yakigeuzwa upande wa pili wa shilingi chini ya mfumo huu huu!
 
Cha kushangaza ni pale CHADEMA wanapolipia walinzi wa hawara ya Slaa Josephine na wanashindwa kuwawekea wabunge waliokuwa na hofu ulinzi. Vipi gwandas?

Akili za magambaz hazijaachana,yaani baba mmoja na mama mmoja.VERY LOW THINKING CAPACITY
 
Mi ningekuwa OCD ningefungua kesi ya kudharirishwa na Dr Slaa.

Kwa sababu mimi siyo OCD mtuhumiwa nasema hivi Fungua kesi ya kudharirishwa au kaa kimya usiongee milele.:doh:
 
Wawakamate kwanza wakina Maige wanaotuibia hela zetu hawa Polic wa bongo sijui ni vipi wapo kama vifuata upepo!
 
Inabidi CHADEMA kijiandae kufanya mabadiliko makubwa sana baada ya uchaguzi 2015.
Sioni mtu wa kubakiza toka jeshi la mgambo hadi la wananchi.
Watendaji wakuu wa serikali ndio uozo mtupu.
 
dr wa matamko yasiyotekelezeka kazi kweli kweli hizi sifa za kijinga anazpenda

Ni heri huyu Dr. Slaa anayetoa matamko japo hana jeshi wala polisi wala mahakama lakini WATZ wanayaheshimu. Kulikoni huyu Dr. Kikwete ambaye ana jeshi, polisi na mahakama lakini akitoa tamko lolote, hata mabalozi wa nyumba kumikumi hawatikiziki kwasababu wanajua kuwa anayetoa tamko ni sawa na hakuna.
 
nimeanzisha uzi wa baraza jipya naona imetupwa kapuni lakini niwapongeze wanaccm na usalama wa kikwete kwa kuendelea kutupatia kinacho endelea hata kama ni ikulu

Mkuu mwaga humuhumu katikati wakistuka tumeishasave..
 
Natambua uwepo wako jembe langu Mag3!
Umeisawazisha taharuki nzima, kwa pande zote!

JG pamoja sana mkuu,mag3 amenikuna sana amewajibu hao wanafki wanaomlaumu dr.slaa wakati ukweli ni kwamba walichokifanya police sio haki kabisa wanaonyesha upendeleo wa wazi sana katika ishu ya akina kiwia!
 
Hiv imagine ile SMG aliyokutwa nayo mzee wa Nashera angekutwa nayo Godbless Lema ingekuwaje??polisi wangesema hata zile dalaz ni za mtutu,ila kwa kuwa gamba huwapooza wakabadilisha eti ni rifle za kawaida,duuuh

Jadi hao policccm huwa wanajidharirisha sana wanadhani wtz wote ni wajinga. ccm wakifanya uhalifu wanawatetea kwa nguvu zote, hii ishu ingewatokea wabunge wa ccm ungeona nini kingetokea shame on them policeccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…