sio karagwe kaka mpaka leo hata CCM wenyewe hawaelewi walishinda vipi karagwe, kamuulize gosbert blandes mbunge wa karagwe anajua bila shaka yoyote kwamba kama sio dola yeye sio mbunge wa karagwe, ningeshangaa kama dr slaa asingepokewa kwa nguvu pale kwa sababu bado watu wanaamini lile ni jimbo la Chadema kama ilivyo shinyanga mjini