ndio unaweza na charge inabidi ukaangalie mwenyewe kwenye website yao ila hapa nitakupa tu tips.
kama unaempigia yupo marekani/ulaya skype ni best utatozwa hela ndogo sana unaweza ongea hata dakika 50 kwa buku tu. ila kama unaempigia yupo africa/asia basi jiandae maumivu dakika ni zaidi ya jero.