Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,479
- 176,527
Avatar tu kashabinua mdomo hahahaaaa!!Kuwolewa kwa lazima sipati picha kama namuona na ile avatar yake
Avatar tu kashabinua mdomo hahahaaaa!!Kuwolewa kwa lazima sipati picha kama namuona na ile avatar yake
Tunataka fursa mbalimbalihivi mnataka kugundua nini jaman na kusimamisha umri
Asanteh mpz kunisaidia, acha siye tuchangamshe genge tuuNey ni msomaji tu na hizo mambo tofauti
Mwenzangu hata sijiwezi, na ninavyojua kwenda opposite to the point acha tuu niwe msomaji nitadhalilika jamani
Hapo sawa hawezi kurudia tenaNimemuonya, akirudia tena namuoa kwa lazima.
Cc Joseverest
Ahahahaaaaaa imebidi nimchungulie baby wangu JoseverestAvatar tu kashabinua mdomo hahahaaaa!!
Baby huyo espy anataka akuny'ang'anye tonge mdomoni usimsikilizeAhahahaaaaaa imebidi nimchungulie baby wangu Joseverest
Ole wako univurugie tena!!Baby huyo espy anataka akuny'ang'anye tonge mdomoni usimsikilize
Sent from my iDevice using Tapatalk
Duuuhhh![]()
![]()
![]()
![]()
Miaka 18,single na haujawahi kuolewa wala kuzaa. Usichana hoyeeeeeee!
Wapi wewe Neybright ananitoshaNimemuonya, akirudia tena namuoa kwa lazima.
Cc Joseverest
Hapana mpz sijiwezi nisije vunja simu yangu bure kwa hasira, siunajua watu walivyo watukutu? Nyie kuna maswali yanakera unapaswa uwe na moyo wa kimalaika ahahahaaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Unapambana tu na hali yako.
Ndioo kwenyewe hukoooBabu mbona hii kama Marangu![]()
![]()
![]()
wewe ni AGE GO usijiteteeHatujasimamisha umri, ndio umri wetu huo mama. Pole we kama umezeeka.
Ndio usirudie tena, lasivyo unalo.Wapi wewe Neybright ananitosha![]()
Sent from my iDevice using Tapatalk
Vipi mkuu mbona umeguna?Duuuhhh
Kwanini asiolewe antiyako mtoto mdogo kabisa tatizo José sio mtu mzuri kamuharibia mwenzie![]()
usinifanyie hivyo Sweetheart mi mtu mzuriHapana mpz sijiwezi nisije vunja simu yangu bure kwa hasira, siunajua watu walivyo watukutu? Nyie kuna maswali yanakera unapaswa uwe na moyo wa kimalaika ahahahaaaaaa
Wewe ni zilipendwa..mbichi utakuwa wewe??Si ndio hapo sasa, mtoto wa watu bado mbichiii alafu jose ananiharibia mipango mikakati!!