Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 464,001
Huwaga ananiambia nimpm eti anisalimie sasa anaogopaje pm jaman halaf nimekusalimia huko nyumahahaha ashakuibukia nn shunie
Huwaga ananiambia nimpm eti anisalimie sasa anaogopaje pm jaman halaf nimekusalimia huko nyumahahaha ashakuibukia nn shunie
Yaani hapo napafamu kabisaaWachaga na makaburi mbele YA nyumba
Ahahahah nyie mnaotongoza kazi kwenu mjueYaani kwa jinsi tulivyozoea u fake,usikute hata ukimuomba mtu namba za akakupa fake ili kuendeleza u fake
Yani navyopenda umbea naanzaje sasa kuchelewaWoiiiiina umekuja kweli cuzo wewe sio wa mchezo mchezo ujue

AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...
Alikulia pesa zako ??
Siasa????
Anakuitaji ila humpendi ??
Unamhitaji ila alikotolea nje ???
Yaan nini jambo bays hasa alokufanyia mpaka umchukie namna iyo ?????.
Nimegundua akiwepo Lee unapwaya sana katika kuchombeza interview, jokes![]()
![]()
muosha rungu

Ya kweliii hayooo???utafiti wa wapi huu we muosha masufuria
HiItakuwa wa Peramiho.
Mzima mama?
Basi si watongozaji,ni vile tu sisi tunataka kujuana kiundani kabisaaAhahahah nyie mnaotongoza kazi kwenu mjue
Hi Shem.
Interview inaendeleaa??Hi Shem.
Mzima wewe?
Niko hapa na cuzoo tunapiga story za kunyumba
Una macho!! Hata sikuliona hilo.Wachaga na makaburi mbele YA nyumba
Interview naona imeisha sahivi tunapiga soga tuInterview inaendeleaa??
Ila baadae anatakiwa kwenda clinic

Ndiooo ndo ratiba niliyoachaa homeInterview naona imeisha sahivi tunapiga soga tu![]()
![]()
Clinic![]()
![]()
![]()
Usimfananishe coco Chanel na hao mifuniko ya vyoo(sky eclat na emmyta)
Clinic ipi shemNdiooo ndo ratiba niliyoachaa home

Toka nilipogundua kuna wazee wengi humu ndani. Na toka lini mi nikaijua pm shunie?Wewe toka linii ukaogopa pm