Skinny Jeans

lol nadhani kuna msaada humohumo
 
Ha ha ha sasa hapo kitu kisimame dede gafra,daah aibu,lakini jamaa anajionea kawaida...
 
Mshikaji hana ule ugonjwa Kweli....?
 
Duh!mwanaume anakuwa kama mtoto wa kike!
 
Hahaaa nimecheka sana, hapo haijasimama ikisimama mguu wa mtoto.
 
Fwasheni changamkieni vidume wote JF. Nashauri liwe vazi la Taifa, kuna viongozi wakilivaa hili watapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…